Hakuwahi kuwapiga vita Mtume rehema na amani ziwe juu yake watu hata siku moja isipokuwa k…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Hakuwahi kuwapiga vita Mtume rehema na amani ziwe juu yake watu hata siku moja isipokuwa k…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Ahmad na Albayhaqy
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Hakuwahi kuwapiga vita Mtume rehema na amani ziwe juu y…
Maelezo ya hadith: Hakuwahi kuwapiga vita Mtume rehema na amani ziwe juu y…
Ameeleza bin Abbasi radhi za Allah ziwe juu yao kuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake hakuwahi kuanza kuwapiga vita watu mpaka kwanza awaite katika Uislamu, wasipokubali wito wake anawapiga vita.
Mafunzo: Hakuwahi kuwapiga vita Mtume rehema na amani ziwe juu y…
- Sharti la kufikisha ujumbe wa Uislamu kwanza kabla ya vita, ikiwa Uislamu haujawafikia.
- Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiwaita katika Uislamu, wakikataa basi anawapa hiari ya kulipa kodi, wakikataa anawapiga vita, kama ilivyokuja katika hadithi zingine.
- Lengo la Jihadi ni watu kuingia katika Uislamu, na si tamaa ya kuwaua na kuchukua mali zao na miji yao.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Jihadi.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Hukumu na Maswala ya Jihadi.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
حسبنا الله ونعم الوكيل
Allah nous suffit, quel excellent protecteur