Tulikula daku pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake, kisha akasimama kwenda katika…

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Tulikula daku pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake, kisha akasimama kwenda katika…

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Tulikula daku pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu…

Maelezo ya hadith: Tulikula daku pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu…

Walikula daku baadhi ya Maswahaba pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake, kisha akasimama rehema na amani ziwe juu yake kwenda katika swala ya Alfajiri. Anasi akasema kumuuliza Zaidi bin Thabit radhi za Allah ziwe juu yake: Kulikuwa na kiwango cha muda gani baina ya adhana na kumaliza kula daku?. Akasema Zaidi radhi za Allah ziwe juu yake: Kiasi cha kusoma aya hamsini za kati na kati, si ndefu wala fupi, wala si kwa kisomo cha haraka wala cha taratibu.

Mafunzo: Tulikula daku pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu…

Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Funga. · Fiq'hi na misingi yake. · Sunnah za Funga.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
اللهم صل على محمد Ô Allah prie sur Muhammad

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56