Ulianza Uislamu ukiwa ni mgeni na utarudi kuwa mgeni kama ulivyo anza, basi shangwe kwa wa…
Islam > Sw > Hadith > Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha > Ulianza Uislamu ukiwa ni mgeni na utarudi kuwa mgeni kama ulivyo anza, basi shangwe kwa wa…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Ulianza Uislamu ukiwa ni mgeni na utarudi kuwa mgeni ka…
Maelezo ya hadith: Ulianza Uislamu ukiwa ni mgeni na utarudi kuwa mgeni ka…
Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake ya kwamba Uislamu ulianza ukiwa kwa mtu mmoja mmoja na uchache wa watu wake, na utarejea ukiwa mgeni kwa uchache wa wenye kuutekeleza kama ulivyoanza, twawatamani, na uzuri ulioje kwa wageni, na furaha na kitulizo cha jicho kwao.
Mafunzo: Ulianza Uislamu ukiwa ni mgeni na utarudi kuwa mgeni ka…
- Habari kuhusu kutokea ugeni wa Uislamu baada ya kuenea kwake na umaarufu wake.
- Hapa kuna alama miongoni mwa alama za utume, kiasi kwamba ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake yale yatakayotokea baada yake, na ikatokea kama alivyoeleza.
- Fadhila ya atakayehama nchi yake na familia yake; na kwamba atakuwa na Pepo.
- Wageni ni wale wanaotengemaa watu wanapoharibika, nao ni wale wanaorekebisha yale waliyoyaharibu watu.
Makundi :
Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha
· Hali za watu wema.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mer. 16 Joumada 1
الأربعاء 16 جمادى الأولى
حسبنا الله ونعم الوكيل
Allah nous suffit, quel excellent protecteur