Sikumuona Mtume -rehema amani ziwe juu yake- katu akipitiliza kucheka mpaka kionekane Kili…
Islam > Sw > Hadith > Historia ya mtume > Sikumuona Mtume -rehema amani ziwe juu yake- katu akipitiliza kucheka mpaka kionekane Kili…
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Sikumuona Mtume -rehema amani ziwe juu yake- katu akipi…
Maelezo ya hadith: Sikumuona Mtume -rehema amani ziwe juu yake- katu akipi…
Alieleza Aisha radhi za Allah ziwe juu yake kuwa Mtume rehema amani ziwe juu yake alikuwa hapitilizi kucheka mpaka kionekane kilimi chake, nacho ni kinyama kinachoning'inia juu ya koo, bali alikuwa akitabasam.
Mafunzo: Sikumuona Mtume -rehema amani ziwe juu yake- katu akipi…
- Kulikuwa kucheka kwa Mtume rehema amani ziwe juu yake ni kutabasam anaporidhia au kufurahishwa na jambo.
- Amesema bin Hajari: Sikuwahi kumuona akipitiliza katika kucheka kiasi cha kucheka kicheko kamili kwa kujiachia mzima mzima kwa kicheko.
- Kukithirisha kucheka na kunyanyua sauti kwa kujikohoza hii si miongoni mwa sifa za watu wema.
- Kukithirisha kucheka kunaondoa haiba ya mtu na heshima yake mbele ya ndugu zake.
Makundi :
Historia ya Mtume.
· Mambo ya Mtume.
· Sifa za kitabia.
· Kucheka kwake Mtume Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake:
· Historia na Taarekh.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
الحمد لله
Louange à Allah