Hakuna yeyote atakayenisalimia isipokuwa Mwenyezi Mungu hunirudishia roho yangu ili nimjib…
Islam > Sw > Hadith > Historia ya mtume > Hakuna yeyote atakayenisalimia isipokuwa Mwenyezi Mungu hunirudishia roho yangu ili nimjib…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud na Ahmad
Upokezi wake ni mzuri
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Hakuna yeyote atakayenisalimia isipokuwa Mwenyezi Mungu…
Maelezo ya hadith: Hakuna yeyote atakayenisalimia isipokuwa Mwenyezi Mungu…
Anaeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa hurejeshewa roho yake ili ajibu salam kwa kila aliyemsalimia sawa sawa awe karibu au mbali; na maisha ya Akhera na kaburini ni jambo la ghaibu, hakuna ajuaye uhalisia wake isipokuwa Mwenyezi Mungu pekee, naye juu ya kila kitu ni muweza.
Mafunzo: Hakuna yeyote atakayenisalimia isipokuwa Mwenyezi Mungu…
- Himizo la kukithirisha kumswalia na kumtakia amani Mtume rehema na amani ziwe juu yake.
- Maisha ya Mtume rehema na amani ziwe juu yake katika kaburi lake ni maisha kamili anayoishi mwanadam katika kaburi lake, hakuna awezaye kujua uhalisia wake ila Mwenyezi Mungu Mtukufu pekee.
- Hadithi hii si hoja kwa mtu anayesema kuwa Mtume rehema na mani ziwe juu yake yuko hai anaishi kama tunavyoishi sisi, tunasema hivi ili washirikina wasiitumie kama hoja ya kumtaka msaada Mtume rehema na amani ziwe juu yake, bali hayo ni maisha ya barzakh (kaburini).
Makundi :
Historia ya Mtume.
· Historia na Taarekh.
· Vilivyo maalumu kwa Mtume.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
سبحان الله وبحمده
Gloire et louange à Allah