Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- anapopiga chafya anaweka mkono wake au nguo …
Islam > Sw > Hadith > Adabu za kisheria > Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- anapopiga chafya anaweka mkono wake au nguo …
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ahmad
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- anapopiga…
Maelezo ya hadith: Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- anapopiga…
Alikuwa rehema na amani ziwe juu yake anapopiga chafya:
Jambo la kwanza: Anaweka mkono wake, au nguo yake juu ya kinywa chake; Kisije kutoka kinywani mwake au puani mwake chochote kitakachomuudhi aliyekaa naye.
Jambo la pili: Anashusha sauti yake na wala hainyanyui.
Mafunzo: Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- anapopiga…
- Hapa pamebainishwa muongozo wake rehema na amani ziwe juu yake, ikiwa ni pamoja na kumuiga katika hilo.
- Inapendekeza kuweka nguo au leso au mfano wa hayo mdomoni na puani mtu anapopiga chafya, ili kitu chochote kisitoke humo kitakachomuudhi mtu aliyekaa naye.
- Kupunguza sauti ya mtu wakati wa kupiga chafya kunahitajika, na ni ishara ya adabu kamili na maadili mema.
Makundi :
Adabu za kisheria.
· Adabu za kupiga Chafya na Miayo.
· Historia ya Mtume.
· Mambo ya Mtume.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
· Historia na Taarekh.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
لا حول ولا قوة إلا بالله
Pas de force ni de puissance sauf en Allah