Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- ni mtu mwenye tabia nzuri mno kuliko watu wo…
Islam > Sw > Hadith > Historia na taarekh > Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- ni mtu mwenye tabia nzuri mno kuliko watu wo…
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- ni mtu mw…
عن أنس بن مالك رضي الله عنه قال: كَانَ رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ أَحْسَنَ النَّاسِ خُلُقًا.
Maelezo ya hadith: Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- ni mtu mw…
Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa na tabia zilizokamilika kuliko watu wote, na mtu wa mbele katika tabia njema na mambo mazuri, kama maneno mazuri, na kufanya heri, na uso mkunjufu, na kujizuia na maudhi na kuyavumilia kutoka kwa wengine.
Mafunzo: Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- ni mtu mw…
- Ukamilifu wa tabia ya Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-.
- Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- yeye ndiye kiigizo kamili katika tabia nzuri.
- Himizo la kuiga kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- katika tabia nzuri.
Makundi :
Historia ya Mtume.
· Mambo ya Mtume.
· Sifa za kitabia.
· Historia na Taarekh.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
الحمد لله
Louange à Allah