Atakapoingia mmoja wenu msikitini basi asali rakaa mbili kabla hajakaa
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Atakapoingia mmoja wenu msikitini basi asali rakaa mbili kabla hajakaa
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Atakapoingia mmoja wenu msikitini basi asali rakaa mbil…
Maelezo ya hadith: Atakapoingia mmoja wenu msikitini basi asali rakaa mbil…
Amemhimiza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- mwenye kuja msikitini na akaingia katika wakati wowote, na kwa lengo lolote, asali rakaa mbili kabla hajakaa, nazo ni rakaa mbili za salamu ya msikiti.
Mafunzo: Atakapoingia mmoja wenu msikitini basi asali rakaa mbil…
- Sunna ya swala ya rakaa mbili kwa ajili ya salamu ya msikiti kabla ya kukaa.
- Amri hii ni kwa atakayetaka kukaa, atakayeingia msikitini na akatoka kabla ya kukaa, amri hii haimuhusu.
- Atakapoingia mwenye kuswali na watu wakiwa ndani ya swala, akaingia nao, basi hilo litamtosheleza na rakaa mbili.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Sala.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Swala ya Kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu.
· Hukumu za Misikiti.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
لا حول ولا قوة إلا بالله
Pas de force ni de puissance sauf en Allah