Akasema: Alikuwa akishiriki katika kazi za familia yake (anakusudia kuhudumia familia yake…

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu kuhusu familia > Akasema: Alikuwa akishiriki katika kazi za familia yake (anakusudia kuhudumia familia yake…

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Al-Bukhaariy

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Akasema: Alikuwa akishiriki katika kazi za familia yake…

Maelezo ya hadith: Akasema: Alikuwa akishiriki katika kazi za familia yake…

Aliulizwa mama wa Waumini Aisha radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake kuhusu hali ya Mtume rehema na amani ziwe juu yake nyumbani kwake, na alikuwa akifanya nini? Akasema: Alikuwa ni mtu kama watu wengine, na anafanya wanayofanya wanaume katika majumba yao, anashughulika na kujihudumia yeye na familia yake; anakamua mbuzi wake mwenyewe, na anashona nguo yake, na anashona kiatu chake, na anatengeneza ndoo yake, na ulikuwa unapofikia wakati wa kusimamishwa swala anatoka kwa ajili yakusali rehema na amani ziwe juu yake bila kuchelewa.

Mafunzo: Akasema: Alikuwa akishiriki katika kazi za familia yake…

Makundi : Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia. · Hukumu za wanawake. · Historia ya Mtume. · Wake zake Mtume Rehema na amani za Allah ziwe juu yake na hali ya Nyumba ya Mtume. · Fiq'hi na misingi yake. · Mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke. · Historia na Taarekh.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
أستغفر الله Je demande pardon à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56