Msiwazuie vijakazi wa Mwenyezi Mungu kwenda katika misikiti ya Mwenyezi Mungu, lakini waki…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Msiwazuie vijakazi wa Mwenyezi Mungu kwenda katika misikiti ya Mwenyezi Mungu, lakini waki…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud
Ni nzuri (Hasan)
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Msiwazuie vijakazi wa Mwenyezi Mungu kwenda katika misi…
Maelezo ya hadith: Msiwazuie vijakazi wa Mwenyezi Mungu kwenda katika misi…
Amemkataza Mtume rehema na amani ziwe juu yake msimamizi wa mwanamke na muhusika wake kuwakataza wanawake kwenda Msikitini, na akawaamrisha wanawake wakati wa kutoka kwenda Msikitini watoke bila kujipuliza manukato na wasitoke kwa kujiachia kwa mapambo; ili wasiwe sababu ya fitina kwa wanaume.
Mafunzo: Msiwazuie vijakazi wa Mwenyezi Mungu kwenda katika misi…
- Kumpa ruhusa mwanamke ya kwenda kuswali Msikitini atapokuwa na uhakika wa kutopata fitina, na akatoka bila mapambo wala manukato.
- Wameitumia hadithi hii kama ushahidi kuwa mwanamke hatoki nyumbani kwake isipokuwa kwa idhini yake, kwakuwa amri ya idhini imeelekezwa kwa wanaume.
- Uislamu umewapa kipaumbele wanawake, na kutowazuia kwa mambo ambayo yanaweza kuwa ni heri kwao kama kutoka kwenda kutafute elimu na mfano wake.
- Kuthibiti kwa usimamizi wa mwanaume juu ya mwanamke na kumchunga.
Makundi :
Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
· Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia.
· Sala.
· Mavazi na Mapambo.
· Hukumu za wanawake.
· Fiq'hi na misingi yake.
· Jurisprudence for Muslim Women
· Hukumu za Misikiti.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
سبحان الله
Gloire à Allah