Hawafuatani Malaika na jamaa ambao ndani yao kuna mbwa au kengele
Islam > Sw > Hadith > Akida itikadi > Hawafuatani Malaika na jamaa ambao ndani yao kuna mbwa au kengele
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Hawafuatani Malaika na jamaa ambao ndani yao kuna mbwa…
Maelezo ya hadith: Hawafuatani Malaika na jamaa ambao ndani yao kuna mbwa…
Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa Malaika hawafuatani na msafara katika safari, na ndani ya msafara kuna mbwa, au kengele inayotundikwa kwa wanyama ikitoa sauti mnyama anapotembea.
Mafunzo: Hawafuatani Malaika na jamaa ambao ndani yao kuna mbwa…
- Katazo la kufuga mbwa na kusuhubiana nao, isipokuwa mbwa wa kuwinda au wa ulinzi.
- Malaika wanaojizuia kufuatana na msafara ni Malaika wa rehema, ama wale waandika matendo hao hawamwachi mtu akiwa nyumbani au safarini.
- Katazo la kengele; kwani ni zumari katika mazumari ya shetani, na kuna kujifananisha na Wakristo.
- Ni juu ya muislamu kujiweka mbali na yale yote yanayowaweka Malaika mbali naye .
Makundi :
Akida- Itikadi-
· Kuamini Malaika
· Malaika.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
الله أكبر
Allah est le plus grand