Hakika kilicho kati ya mtu na ushirikina na ukafiri ni kuacha swala

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Hakika kilicho kati ya mtu na ushirikina na ukafiri ni kuacha swala

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Hakika kilicho kati ya mtu na ushirikina na ukafiri ni…

Maelezo ya hadith: Hakika kilicho kati ya mtu na ushirikina na ukafiri ni…

Anatahadharisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuacha swala ya faradhi, na akaeleza kuwa kati ya mtu na baina ya kuingia katika shirki na ukafiri ni kuacha swala, swala ni nguzo ya pili katika nguzo za Uislamu, na jambo lake ni kubwa katika Uislamu, atakayeiacha kwa kupinga uwajibu wake amekufuru kwa makubaliano ya waislamu, na akiiacha moja kwa moja kwa uzembe na uvivu pia ni kafiri, na yamenukuliwa makubaliano ya Masahaba juu ya hilo, na ikiwa anaiacha baadhi ya wakati na wakati mwingine anaswali, basi anajitia katika makemeo haya makubwa.

Mafunzo: Hakika kilicho kati ya mtu na ushirikina na ukafiri ni…

Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Sala. · Akida- Itikadi- · Fiq'hi na misingi yake. · Wajibu wa Swala na Hukumu ya Mwenye kuiacha. · Majina na Hukumu. · Vitenguzi vya uislamu. · Kufuru

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
اللهم صل على محمد Ô Allah prie sur Muhammad

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56