Si chochote kursiy (Mahala anapoweka miguu Ar-Rahmani) katika Arshi isipokuwa ni kama bang…

Islam > Sw > Hadith > Akida itikadi > Si chochote kursiy (Mahala anapoweka miguu Ar-Rahmani) katika Arshi isipokuwa ni kama bang…

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abii Shayba katika kitabuchake Al Arshi - Imepokelewa na Adh-dhahaby katika kitabu cha Uluwwi

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Si chochote kursiy (Mahala anapoweka miguu Ar-Rahmani)…

عن أبي ذر الغفاري رضي الله عنه مرفوعاً: "ما الكرسي في العرش إلا كحلقة من حديد ألقيت بين ظهري فلاة من الأرض".

Maelezo ya hadith: Si chochote kursiy (Mahala anapoweka miguu Ar-Rahmani)…

Anaeleza Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- katika hadithi ya Abuu dharri kuwa kursiy pamoja na upana wake na ukubwa wake ukilinganisha na Arshi ni kama bangili la chuma lililowekwa katika jangwa la ardhi pana; Na hii inaonyesha ukubwa na utukufu wa muumbaji wake na uwezo wake uliotimia.

Makundi : Akida- Itikadi- · Kumuamini Allah mwenye nguvu aliye tukuka · Kumpwekesha Allah kwa vitendo vyake (Uumbaji)

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.6 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
سبحان الله وبحمده Gloire et louange à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56