Amemlaani Mtume rehema na amani ziwe juu yake mwanaume anayevaa vazi la mwanamke, na mwana…
Islam > Sw > Hadith > Kujifananisha kulikokatazwa > Amemlaani Mtume rehema na amani ziwe juu yake mwanaume anayevaa vazi la mwanamke, na mwana…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Nasai katika kitabu Alkubraa na Ibn Majah kwa maana yake na Ahmad
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Amemlaani Mtume rehema na amani ziwe juu yake mwanaume…
Maelezo ya hadith: Amemlaani Mtume rehema na amani ziwe juu yake mwanaume…
Aliomba Mtume rehema na amani ziwe juu yake kufukuzwa na kuwekwa mbali na rehema za Mwenyezi Mungu kwa kila mwanaume atakayejifananisha na mwanamke katika mavazi maalumu kwa ajili ya wanawake; sawa sawa iwe katika muonekano au rangi au jinsi au namna ya uvaaji na kujipamba. Au kwa mwanamke kujifananisha na mavazi maalumu kwa wanaume vile vile, nalo ni dhambi katika madhambi makubwa.
Mafunzo: Amemlaani Mtume rehema na amani ziwe juu yake mwanaume…
- Amesema Shaukani: Kumeharamishwa wanawake kujifananisha na wanaume na wanaume kujifananisha na wanawake; kwa sababu laana huwa haiwi ila kwa kufanya jambo lililoharamishwa.
- Amesema bin Uthaimiin: Zile wanazoshirikiana kati yao, mfano kama jezi au shati ambazo wanazivaa wanaume na wanawake hizi hazina tatizo, yaani hakuna tatizo akizivaa mwanaume na mwanamke; kwa sababu wanashirikiana.
Makundi :
Kujifananisha kulikokatazwa
· Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia.
· Mavazi na Mapambo.
· Akida- Itikadi-
· Fiq'hi na misingi yake.
· Kupenda na Kuchukia.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
الله أكبر
Allah est le plus grand