“Mfano wa rafiki mwema na rafiki muovu ni mfano wa mbeba miski na mfua vyuma

Islam > Sw > Hadith > Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha > “Mfano wa rafiki mwema na rafiki muovu ni mfano wa mbeba miski na mfua vyuma

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: “Mfano wa rafiki mwema na rafiki muovu ni mfano wa mbeb…

Maelezo ya hadith: “Mfano wa rafiki mwema na rafiki muovu ni mfano wa mbeb…

Amepiga mfano Mtume rehema na amani ziwe juu yake, wa aina mbili za watu:

Aina ya kwanza: Rafiki mwema anayemjulisha rafiki yake kwa Mwenyezi Mungu na yanayomridhisha, na kumsaidia katika utiifu, Mfano wake ni kama muuza miski, ima atakupa, au utanunua kwake, au utapata na kunusa harufu nzuri kutoka kwake.

Aina ya pili: Rafiki na swahiba mbaya; Anayeziba njia ya Mwenyezi Mungu, na anasaidia katika kutenda maasi, na unaona wazi kwake matendo machafu, na wewe unasemwa vibaya kwa kufuatana naye na kukaa na mtu kama yeye. Mfano wake ni kama mhunzi apulizaye moto wake; ima itachoma nguo zako kutokana na cheche zake zinazoruka, au utasikia harufu mbaya kwa kukaa karibu naye.

Mafunzo: “Mfano wa rafiki mwema na rafiki muovu ni mfano wa mbeb…

Makundi : Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Hali za watu wema. · Kuyasema vibaya Maasi. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.6 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
حسبنا الله ونعم الوكيل Allah nous suffit, quel excellent protecteur

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56