Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Hakika kila umma una mtihani wake, na mtihani wa umma wangu: ni mali
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureعن كعب بن عياض رضي الله عنه قال: سمعت رسول الله صلى الله عليه وسلم يقول: «إن لكل أُمَّة فتنة، وفِتنة أُمَّتي: المال».
Amesema Ka'bu bin Iyadh -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- Nilimsikia Mjumbe wa Mwenyezi Mungu -Rehema na Amani ziwe juu yake- Akisema: (Hakika kila umma una mtihani wake) Nayo ni ile wanayotahiniwa kwayo na kujaribiwa katika mambo. (Na mtihani wa Umma wangu ni mali) kwasababu ndio unaozuia ukamilifu wa kuandaa marejeo; Hivyo upuuzi hushughulisha hisia na kusimamia mambo ya utiifu na kusahau Akhera.
Makundi : Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Kuyasema vibaya mapenzi ya kuipenda dunia. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.