Atakayekuwa na dhuluma yoyote ya ndugu yake kama heshima au chochote, basi na wamalizane l…

Islam > Sw > Hadith > Akida itikadi > Atakayekuwa na dhuluma yoyote ya ndugu yake kama heshima au chochote, basi na wamalizane l…

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Al-Bukhaariy

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Atakayekuwa na dhuluma yoyote ya ndugu yake kama heshim…

Maelezo ya hadith: Atakayekuwa na dhuluma yoyote ya ndugu yake kama heshim…

Amemuamrisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake mwenye kutumbukia katika dhuluma ya ndugu yake Muislamu katika heshima, au mali, au damu, basi amuombe aliyemdhulumu amsamehe madamu bado yuko Duniani, kabla haijafika siku ya Kiyama, kiasi ambacho Dinar ya dhahabu wala Dirham ya fedha haitofaa kitu kwa kumlipa aliyemdhulumu ili aikomboe nafsi yake; kwani kisasi siku hiyo kitakuwa kwa matendo mema na mabaya; kiasi kwamba aliyedhulumiwa atachukua kutoka katika mema ya aliyemdhulumu kwa kiwango cha dhuluma yake alichodhulumiwa, ikiwa dhalimu hatokuwa na mema basi yatapunguzwa maovu ya aliyedhulumiwa na kubebeshwa dhalimu kwa kiwango cha dhuluma yake.

Mafunzo: Atakayekuwa na dhuluma yoyote ya ndugu yake kama heshim…

Makundi : Akida- Itikadi- · Kuamini siku ya mwisho · Maisha ya Akhera.

بسم الله الرحمن الرحيم mer. 16 Joumada 1
الأربعاء 16 جمادى الأولى
أحدب متناقص Gibbeuse Décroissante Jour 17.1 / 29.5
Illumination 94%
Nouvelle lune dans 12 jours
أستغفر الله Je demande pardon à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56