Hakitosimama Kiyama mpaka apite mtu juu ya kaburi la mtu aseme: Natamani ningekua nafasi y…

Islam > Sw > Hadith > Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha > Hakitosimama Kiyama mpaka apite mtu juu ya kaburi la mtu aseme: Natamani ningekua nafasi y…

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Hakitosimama Kiyama mpaka apite mtu juu ya kaburi la mt…

Maelezo ya hadith: Hakitosimama Kiyama mpaka apite mtu juu ya kaburi la mt…

Ameeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- yakuwa Kiyama hakitosimama mpaka mtu apite katika kaburi atamani laiti angelikuwa maiti mfano wake, na sababu ni kuihofia nafsi yake kwa kutoweka dini yake kwa kuzidiwa na batili na waovu, na kudhihiri kwa fitina na maasi na maovu.

Mafunzo: Hakitosimama Kiyama mpaka apite mtu juu ya kaburi la mt…

Makundi : Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Akida- Itikadi- · Hali za watu wema. · Kuzitakasa Nafsi. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima. · Kuamini siku ya mwisho · Maisha ya Barzakhi (Baada ya kufa)

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
سبحان الله وبحمده Gloire et louange à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56