Islam > Sw > Hadith > Akida itikadi > Si miongoni mwetu atakayepiga mashavu, na akachana mifuko, na akaomboleza kwa maombolezo y…
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureAmekataza Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- na akatahadharisha kuhusu baadhi ya vitendo vya watu zama za ujinga akasema: Si miongoni mwetu:
La kwanza: Atakayepiga mashavu, na ametaja mashavu pekee kwa sababu ndio watu hufanya mara nyingi katika hilo, na vinginevyo kupiga sehemu zingine kunaingia ndani uso.
La pili: Kuchana uwazi wa nguo ili aingize kichwa kwa sababu ya huzuni kubwa.
La tatu: Akaomboleza kwa maombolezo ya za zama za ujinga kama kujiombea maangamivu na laana, na malalamiko, na makelele na mengineyo.
Makundi : Akida- Itikadi- · Majina na Hukumu. · (Mambo ya kale kabla ya uislamu)