Mwenyezi Mungu ni mkubwa Mwenyezi Mungu ni mkubwa, namshukuru Mwenyezi Mungu ambaye amevir…
Islam > Sw > Hadith > Akida itikadi > Mwenyezi Mungu ni mkubwa Mwenyezi Mungu ni mkubwa, namshukuru Mwenyezi Mungu ambaye amevir…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud na Nasai katika Alkubraa
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Mwenyezi Mungu ni mkubwa Mwenyezi Mungu ni mkubwa, nams…
عن ابن عباس رضي الله عنهما قال: جاءَ رجُلُ إلى النبي صلى الله عليه وسلم فقال: يا رسولَ اللهِ، إن أحدنا يجدُ في نفسِهِ -يُعرِّضُ بالشَّيءِ- لأَن يكونَ حُمَمَةً أحَبُّ إليه من أن يتكلَّم بِهِ، فقال: «اللهُ أكبرُ، اللهُ أكبرُ، الحمدُ لله الذي ردَّ كيدَه إلى الوسوسَةِ».
Maelezo ya hadith: Mwenyezi Mungu ni mkubwa Mwenyezi Mungu ni mkubwa, nams…
Alikuja mtu mmoja kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, mmoja wetu hutokewa na jambo kwenye nafsi yake kiasi yakuwa anaona bora akachomwa mpaka akawa jivu ni bora kwake kuliko kulizungumza jambo hilo. Basi Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akapiga Takbira mara mbili na akamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kurudisha vitimbi vya shetani na kuvigeuza kuwa ni wasiwasi,
Mafunzo: Mwenyezi Mungu ni mkubwa Mwenyezi Mungu ni mkubwa, nams…
- Kumewekwa wazi kuwa Shetani humuwinda muislamu kwa njia ya wasiwasi; ili kumtoa katika imani na kumuingiza katika ukafiri.
- Kumewekwa wazi kuwa shetani ni kiumbe dhaifu mbele ya wenye imani, kwani Shetani hawezi kufanya chochote zaidi ya kutia wasiwasi.
- Muumini anapasa kuupinga wasiwasi utokanao na shetani na kuuzuia wasiwasi huo.
- Ni sheria kuleta Takbira kwenye jambo zuri au lenye kufanana na mambo mazuri.
- Ni katika sheria muislamu kumuuliza mtu mjuzi kwa kila jambo linalomtatiza.
Makundi :
Akida- Itikadi-
· Kumuamini Allah mwenye nguvu aliye tukuka
· Kuamini Malaika
· Majini.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
سبحان الله وبحمده
Gloire et louange à Allah