La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama ni katika damu

Islam > Sw > Hadith > Makosa ya jinai > La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama ni katika damu

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama…

Maelezo ya hadith: La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama…

Ameeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa jambo la kwanza litakalohukumiwa baina ya watu katika dhulma zao wao kwa wao siku ya Kiyama: Itakuwa katika damu, kama kuua na kujeruhi.

Mafunzo: La kwanza litakalohukumiwa kati ya watu siku ya kiyama…

Makundi : Makosa ya jinai. · Kisasi. · Akida- Itikadi- · Fiq'hi na misingi yake. · Kuamini siku ya mwisho · Maisha ya Akhera.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
أستغفر الله Je demande pardon à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56