"Haya (Aibu) haiji ila kwa kheri"

Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > "Haya (Aibu) haiji ila kwa kheri"

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Imamu Muslim - Wamekubaliana Bukhaariy na Muslim

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: "Haya (Aibu) haiji ila kwa kheri"

عن عمران بن حصين رضي الله عنهما قَالَ: قَالَ رسولُ اللَّه -صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم-: «الحَيَاءُ لاَ يَأْتِي إِلاَّ بِخَيرٍ».
وفي رواية : «الحَيَاءُ خَيرٌ كُلُّهٌ» أو قال: «الحَيَاءُ كُلُّهُ خَيرٌ».

Maelezo ya hadith: "Haya (Aibu) haiji ila kwa kheri"

Haya(Aibu) ni sifa iliyoko katika nafsi inayomsukuma mtu kufanya mazuri au yanayopendeza, na kuacha yanayochafua na kuharibu, na ndio maana haiji isipokuwa kwa kheri, na sababu ya kuja kwa hadithi hii nikuwa mtu mmoja alikuwa akimnasihi ndugu yake kuhusu haya, na akimkataza kuhusu haya, Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- akasema kumwambia maneno haya.

Makundi : Mambo yaliyo bora. · Fadhila za matendo ya moyoni. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
أستغفر الله Je demande pardon à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56