Majaribio hayaachi kumpata muumini wa kiume na muumini wa kike katika nafsi yake, na watot…

Islam > Sw > Hadith > Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha > Majaribio hayaachi kumpata muumini wa kiume na muumini wa kike katika nafsi yake, na watot…

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Tirmidhiy na Ahmad

Ni nzuri (Hasan)

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Majaribio hayaachi kumpata muumini wa kiume na muumini…

Maelezo ya hadith: Majaribio hayaachi kumpata muumini wa kiume na muumini…

Anaeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa: “Balaa na mtihani havikomi kwa muumini wa kiume na wa kike, katika afya yake na mwili wake, na kwa watoto wake, kama magonjwa, kifo, uasi na mengineyo, na katika mali yake kutiwa umasikini, kutoweka kwa biashara, kuibiwa, kuvurugika kwa maisha na dhiki katika riziki, na ugumu wa maisha, mpaka Mwenyezi Mungu atamfutia dhambi zake zote kwa mateso haya, ili atakapokutana na Mwenyezi Mungu atakuwa kasafishika na madhambi na maovu yote aliyoyafanya.

Mafunzo: Majaribio hayaachi kumpata muumini wa kiume na muumini…

Makundi : Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Akida- Itikadi- · Kuzitakasa Nafsi. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima. · Ni kuamini hukumu na mipango

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
حسبنا الله ونعم الوكيل Allah nous suffit, quel excellent protecteur

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56