Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Msiziombee mabaya nafsi zenu,wala msiwaombee vibaya watoto wenu,wala msiziombee vibaya mal…
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureعن جابر بن عبد الله رضي الله عنهما مرفوعاً: «لا تدعوا على أنفسكم؛ ولا تدعوا على أولادكم، ولا تدعوا على أموالكم، لا توافقوا من الله ساعة يُسأل فيها عطاءٌ فيستجيب لكم».
Anatahadharisha Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- katika hadithi hii na anakataza kujiombea dua mbaya na kwa watoto na mali; kwasababu dua ni jambo kubwa, anaweza kuipitisha Mwenyezi Mungu kwa waja, ikiwa itaafikiana na saa ya kujibiwa ikawa madhara yake ni kwa mwenye nayo na yale yanayomuhusu kama watoto wake na mali yake.
Makundi : Fiq'hi -Elimu- ya Dua na Dhikri mbali mbali. · Hukumu za Dua. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.