Haitokei kuuliwa nafsi yoyote kwa dhulma isipokuwa hupata binadamu wa mwanzo fungu (la dha…

Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Haitokei kuuliwa nafsi yoyote kwa dhulma isipokuwa hupata binadamu wa mwanzo fungu (la dha…

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhaariy na Muslim

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Haitokei kuuliwa nafsi yoyote kwa dhulma isipokuwa hupa…

عن عبد الله بن مسعود رضي الله عنه مرفوعًا: «ليس مِنْ نَفْسٍ تُقْتَلُ ظُلماً إِلاَّ كَان على ابنِ آدَمَ الأَوَّل كِفْلٌ مِن دمِهَا؛ لِأَنَّه كان أوَّل مَن سَنَّ القَتْلَ».

Maelezo ya hadith: Haitokei kuuliwa nafsi yoyote kwa dhulma isipokuwa hupa…

Inasimulia hadithi hii sababu ya kubebeshwa mmoja kati ya binadamu damu zinazofuatia ambazo zinazomwagwa baada yake, Inasemekana kuwa ni Qaabil alimuua ndugu yake Haabil kwasababu ya kumuhusudu, wao ndio muuliwa na muuwaji wa mwanzo katika watoto wa adamu; anabeba Qaabil fungu la madhambi ya damu ambazo zinazomwagwa baada yake; kwasababu yeye ndiye aliyeanzilisha kuuwa; kwasababu kila atakayefanya baada yake anaiga kwake.

Makundi : Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Kuyasema vibaya Maasi. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
لا إله إلا الله Pas de divinité sauf Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56