Haijabakia katika utume isipokuwa viashiria vya habari njema

Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Haijabakia katika utume isipokuwa viashiria vya habari njema

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Al-Bukhaariy

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Haijabakia katika utume isipokuwa viashiria vya habari…

عن أبي هريرة ـ رضي الله عنه ـ قال: سمعت رسول الله صلى الله عليه وسلم يقول: «لم يبقَ من النُّبُوَّةِ إلا المُبَشِّرَاتُ» قالوا: وما المُبَشِّرَاتُ ؟ قال: «الرؤيا الصالحة».

Maelezo ya hadith: Haijabakia katika utume isipokuwa viashiria vya habari…

Anaashiria Nabii -Rehema na Amani ziwe juu yake- kuwa ndoto njema ndio viashiria, nazo ndiyo athari za utume zilizobakia baada ya kukatika kwa wahyi, na hayajabakia yanayoweza kutumika kujua mambo yatakayotokea isipokuwa ndoto njema.

Makundi : Adabu za kisheria. · Adabu za kuona Ndoto · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
أستغفر الله Je demande pardon à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56