Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Kila mwanadamu ni mkosefu, na mbora wa wakosefu ni wale wenye kutubia
Ni nzuriMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureعن أنس بن مالك رضي الله عنه قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم : «كلُّ بني آدم خَطَّاءٌ، وخيرُ الخَطَّائِينَ التوابون».
Haepukani mwanadamu na kukosea, kwa jinsi alivyoumbwa kutokana na udhaifu, na kutokumtii msimamizi wake katika kutekeleza yale aliyomtaka ayafanye, na kuacha yale aliyomkataza, lakini yeye Mtukufu amefungua mlango wa toba kwa waja wake, na akaeleza kuwa mbora wa wakosefu ni wale wenye kukithirisha toba.
Makundi : Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Toba · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.