Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenye haya Mkarimu, anamuonea haya mja wake atakapo nyanyua mik…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi elimu ya dua na dhikri mbali mbali > Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenye haya Mkarimu, anamuonea haya mja wake atakapo nyanyua mik…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy na Ibn Majah
Ni nzuri (Hasan)
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenye haya Mkarimu, anamuone…
Maelezo ya hadith: Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenye haya Mkarimu, anamuone…
Anahimiza Mtume rehema na amani ziwe juu yake juu ya kunyanyua mikono wakati wa dua, na akaeleza kuwa Mwenyezi Mungu Mtukufu "huona haya" mwingi wa haya, na haachi kutoa, anamfanyia mja yenye kumfurahisha, na anaacha yenye kumdhuru, "Ni Mkarim" hutoa pasina kuombwa, je hali huwaje baada ya kuombwa! anamuonea haya mja wake muumini kuirejesha patupu mikono yake baada ya kuinyanyua kwa ajili ya dua ikiwa imefeli haina kitu kwa kutojibiwa.
Mafunzo: Hakika Mola wenu Mlezi ni Mwenye haya Mkarimu, anamuone…
- Kila anapodhihirisha mwanadamu unyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu na kumuabudu, ndivyo inavyotarajiwa kwake kuwa na ukaribu wa kujibiwa.
- Himizo la kuomba dua, na kupendeza kunyanyua mikono ndani yake, nakuwa kufanya hivyo ni katika sababu za kujibiwa.
- Kumebainishwa upana wa ukarimu wa Mwenyezi Mungu na rehema yake kwa waja wake .
Makundi :
Fiq'hi -Elimu- ya Dua na Dhikri mbali mbali.
· Adabu za Dua.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
سبحان الله وبحمده
Gloire et louange à Allah