Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akipendelea dua fupi yenye kukusanya, na anaac…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi elimu ya dua na dhikri mbali mbali > Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akipendelea dua fupi yenye kukusanya, na anaac…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud na Ahmad
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akipendelea…
Maelezo ya hadith: Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akipendelea…
Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akipendelea dua zenye kukusanya kheri za dunia na Akhera ambazo matamshi yake ni machache na maana yake ni nyingi, na kunakuwa ndani yake na kumtukuza Mwenyezi Mungu Mtukufu, na malengo mazuri, na anaachana na yasiyokuwa hayo.
Mafunzo: Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akipendelea…
- Kupendeza kuomba dua kwa matamshi machache yenye kukusanya maana nyingi za kheri, na karaha ya kujikalifisha na kujitia tabu katika kuomba, jambo ambalo ni kinyume na muongozo wa Mtume rehema na amani ziwe juu yake.
- Mtume rehema na amani ziwe juu yake alipendelewa kwa kuwa na maneno machache yenye kukusanya maana pana.
- Kupupia yaliyothibiti kuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake aliomba kwa maombi hayo; hata kama dua ikiwa ndefu, na maneno yake yakawa mengi, yote ni katika dua zilizokusanya maana pana.
Makundi :
Fiq'hi -Elimu- ya Dua na Dhikri mbali mbali.
· Adabu za Dua.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mer. 16 Joumada 1
الأربعاء 16 جمادى الأولى
اللهم صل على محمد
Ô Allah prie sur Muhammad