Hakika mja anaweza kuswali swala, hakuna anachoandikiwa isipokuwa moja ya kumi yake, moja …

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu wa ibada mbalimbali > Hakika mja anaweza kuswali swala, hakuna anachoandikiwa isipokuwa moja ya kumi yake, moja …

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Ahmad

Ni nzuri (Hasan)

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Hakika mja anaweza kuswali swala, hakuna anachoandikiwa…

Maelezo ya hadith: Hakika mja anaweza kuswali swala, hakuna anachoandikiwa…

Aliingia Ammari bin Yasiri radhi za Allah ziwe juu yake Msikitini akaswali swala ya sunna, na ilikuwa swala fupi sana, alipotoka msikitini, Abdallah ibin Anama alimfuata na akasema kumwambia: Ewe baba Yakdhani, nimekuona umefupisha swala yako!. Akasema Ammari: Je, umeniona nimepunguza chochote katika nguzo zake na wajibu wake na sharti zake?! Nilimsikia Mtume rehema na amani ziwe juu yake akisema: Hakika mja anaweza kuswali swala, na asiandikiwe malipo yoyote isipokuwa moja yake ya kumi, au tisa ya kumi, au nane ya kumi, au saba ya kumi, au sudusi yake, au tano ya kumi, au robo yake, au theluthi yake, au nusu yake.

Mafunzo: Hakika mja anaweza kuswali swala, hakuna anachoandikiwa…

Makundi : Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali. · Sala. · Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Matendo ya moyoni. · Fiq'hi na misingi yake. · Fadhila za Swala. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
لا حول ولا قوة إلا بالله Pas de force ni de puissance sauf en Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56