Hakuwahi kula Muhammadi rehema na amani ziwe juu yake milo miwili kwa siku isipokuwa mlo m…
Islam > Sw > Hadith > Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha > Hakuwahi kula Muhammadi rehema na amani ziwe juu yake milo miwili kwa siku isipokuwa mlo m…
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Hakuwahi kula Muhammadi rehema na amani ziwe juu yake m…
Maelezo ya hadith: Hakuwahi kula Muhammadi rehema na amani ziwe juu yake m…
Anaeleza mama wa waumini Aisha radhi za Allah ziwe juu yake kwamba watu wa nyumba ya Mtume rehema na amani ziwe juu yake hawakuwahi kula milo miwili kwa siku moja isipokuwa mlo mmoja kati ya hiyo utakuwa ni tende.
Mafunzo: Hakuwahi kula Muhammadi rehema na amani ziwe juu yake m…
- Unyenyekevu wa Mtume rehema na amani ziwe juu yake na watu wa nyumba yake, huenda kuna wakati hawakupata mlo zaidi ya mmoja.
- Tende ilikuwa rahisi kwao kuliko chochote.
- Ubora wa kuipa nyongo dunia na kutosheka na kichache katika maisha, na kuwa hilo ni katika tabia za Mtume rehema na amani ziwe juu yake bwana wa Mitume.
- Kula milo miwili kwa siku ni katika mambo halali na yanayofaa, nayo ni katika desturi za Waarabu inafahamika, walikuwa wakila kwa siku milo miwili, chakula cha mchana, na chakula cha usiku.
Makundi :
Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha
· Kuipa nyongo Dunia na Kujiepusha na yaliyo haramu.
· Historia ya Mtume.
· Mambo ya Mtume.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
· Muongozo wa Mtume.
· Historia na Taarekh.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
سبحان الله وبحمده
Gloire et louange à Allah