Msitengeze mabustani, mkajakuipenda sana dunia
Islam > Sw > Hadith > Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha > Msitengeze mabustani, mkajakuipenda sana dunia
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Tirmidhiy na Ahmad
Ni nzuri kwa sababu ya hadithi nyinginezo
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Msitengeze mabustani, mkajakuipenda sana dunia
Maelezo ya hadith: Msitengeze mabustani, mkajakuipenda sana dunia
Amekataza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kujitengenezea makonde na mabustani na mashamba; kwa sababu hilo ni katika sababu za kuipenda sana dunia na kubweteka nayo na kuisahau Akhera.
Mafunzo: Msitengeze mabustani, mkajakuipenda sana dunia
- Katazo la kukithirisha sana hadhi za kidunia kwa sababu hupelekea kuiacha Akhera.
- Katika hadithi hakuna katazo la kutengeneza yale yanayopelekea maisha, bali katazo ni kuzama katika dunia na kuisahau Akhera.
- Amesema Sanadi: Na makusudio yake: Nikuwa msizame katika kutengeneza mabustani, mkapumbazika nayo na mkajisahau kumtaja Mwenyezi Mungu.
Makundi :
Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha
· Kuyasema vibaya mapenzi ya kuipenda dunia.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
لا حول ولا قوة إلا بالله
Pas de force ni de puissance sauf en Allah