Moyo wa mzee huendelea kuwa kijana katika mambo mawili: Katika kupenda dunia na matumaini …

Islam > Sw > Hadith > Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha > Moyo wa mzee huendelea kuwa kijana katika mambo mawili: Katika kupenda dunia na matumaini …

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Al-Bukhaariy

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Moyo wa mzee huendelea kuwa kijana katika mambo mawili:…

Maelezo ya hadith: Moyo wa mzee huendelea kuwa kijana katika mambo mawili:…

Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa mzee huzeeka na mwili wake kudhoofika, lakini moyo wake huwa kijana kwa kupenda mambo mawili: La kwanza: Kuipenda dunia kwa kuwa na wingi wa mali. La pili: Kuwa na uhai na maisha na umri na matarajio ya muda mrefu.

Mafunzo: Moyo wa mzee huendelea kuwa kijana katika mambo mawili:…

Makundi : Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Kuyasema vibaya mapenzi ya kuipenda dunia. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
أحدب متناقص Gibbeuse Décroissante Jour 16.6 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
حسبنا الله ونعم الوكيل Allah nous suffit, quel excellent protecteur

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56