Tahadharini na madhambi yenye kudharauliwa

Islam > Sw > Hadith > Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha > Tahadharini na madhambi yenye kudharauliwa

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Ahmad

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Tahadharini na madhambi yenye kudharauliwa

Maelezo ya hadith: Tahadharini na madhambi yenye kudharauliwa

Ametahadharisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake na kupuuza katika kuyafanya madhambi madogo, na kuyakithirisha kwani yanaangamiza yanapokuwa mengi, na akapiga mfano juu ya hilo wa watu walioshuka chini ya bonde, basi akaja kila mmoja wao na kijiti kidogo, mpaka wakaivisha mkate wao kwa mkusanyiko wa vile walivyovikusanya katika vijiti, na hakika madhambi yadharauliwayo pindi anapohesabiwa mfanyaji wake na akawa hajatubia kutokana na madhambi hayo au Mwenyezi Mungu amsamehe, basi humuangamiza.

Mafunzo: Tahadharini na madhambi yenye kudharauliwa

Makundi : Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Kuyasema vibaya Maasi. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
أستغفر الله Je demande pardon à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56