Zidisheni sana kukikumbuka kikata ladha" Yaani: Kifo

Islam > Sw > Hadith > Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha > Zidisheni sana kukikumbuka kikata ladha" Yaani: Kifo

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Tirmidhiy, Nasai na Ibn Majah

Ni nzuri (Hasan)

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Zidisheni sana kukikumbuka kikata ladha" Yaani: Kifo

Maelezo ya hadith: Zidisheni sana kukikumbuka kikata ladha" Yaani: Kifo

Amehimiza Mtume rehema na amani ziwe juu yake juu ya kukithirisha kukikumbuka kifo ambacho kukikumbuka kwake mtu anakumbuka Akhera, na kunabomoa mapenzi yake ya kupenda ladha za dunia ndani ya moyo wake, na hasa hasa zile za haramu.

Mafunzo: Zidisheni sana kukikumbuka kikata ladha" Yaani: Kifo

Makundi : Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Kuyasema vibaya mapenzi ya kuipenda dunia. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.6 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
اللهم صل على محمد Ô Allah prie sur Muhammad

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56