Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Hakika ndani ya Pepo kuna mti ambao anatembea aliyepanda kipando madhubuti chenye uimara n…
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureعَنْ أَبِي سَعِيدٍ الْخُدْرِيِّ رَضيَ اللهُ عنهُ عَنِ النَّبِيِّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ: «إِنَّ فِي الْجَنَّةِ شَجَرَةً يَسِيرُ الرَّاكِبُ الْجَوَادَ الْمُضَمَّرَ السَّرِيعَ مِائَةَ عَامٍ مَا يَقْطَعُهَا».
Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake ya kwamba peponi kuna mti ambao anatembea chini yake aliyepanda Farasi aliyeandaliwa kwa mashindano, na mwenda kasi zaidi katika kukimbia kwake miaka mia moja lakini hafiki mwisho wa yanakolalia matawi yake.
Makundi : Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Sifa za pepo na moto. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.