Islam > Sw > Hadith > Ubora wa maswahaba radhi za mwenyezi mungu ziwe juu yao > Hatoingia motoni mtu aliyeshuhudia vita vya Badri na Hudaibia
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureAmeeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake ya kwamba hatoingia motoni aliyehudhuria vita vya Badri vilivyotokea katika mwaka wa pili wa Hijiria (kalenda ya kiislamu) akipigana pamoja na Mtume rehema na amani ziwe juu yake, wala aliyehudhuria suluhu ya Hudaibia, na ndani yake kukiwa na uungaji mkono wa ridhaa (Baiatu ridhiwani) uliotokea katika mwaka wa sita wa Hijiria.
Makundi : Ubora wa Maswahaba Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao. · Vyeo vya Maswahaba Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao. · Mambo yaliyo bora. · Ubora wa Maswahaba Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao. · Akida- Itikadi- · Mambo mazuri na Adabu- Heshima. · Maswahaba .