Alisema Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- kumwambia Abubakari na Omari: "Hawa wawili n…

Islam > Sw > Hadith > Vyeo vya maswahaba radhi za mwenyezi mungu ziwe juu yao > Alisema Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- kumwambia Abubakari na Omari: "Hawa wawili n…

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Tirmidhiy

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Alisema Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- kumwambia…

Maelezo ya hadith: Alisema Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- kumwambia…

Alieleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa Abubakari Swiddiq na Omari Al-farouq radhi za Allah ziwe juu yao ndio viumbe bora baada ya Manabii, na ndio watu bora katika watu walioingia peponi baada ya Manabii na Mitume.

Mafunzo: Alisema Mtume -rehema na amani ziwe juu yake- kumwambia…

Makundi : Vyeo vya Maswahaba Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao. · Mambo yaliyo bora. · Ubora wa Maswahaba Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao. · Akida- Itikadi- · Mambo mazuri na Adabu- Heshima. · Maswahaba .

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
لا حول ولا قوة إلا بالله Pas de force ni de puissance sauf en Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56