Kufanya ibada katika (nyakati) za vita vurugu na mauaji ni kama kuhama kuja kwangu

Islam > Sw > Hadith > Mambo yaliyo bora > Kufanya ibada katika (nyakati) za vita vurugu na mauaji ni kama kuhama kuja kwangu

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Kufanya ibada katika (nyakati) za vita vurugu na mauaji…

Maelezo ya hadith: Kufanya ibada katika (nyakati) za vita vurugu na mauaji…

Ameelekeza Mtume rehema na amani ziwe juu yake katika nyakati za vurugu na fitina na mauaji na kuparaganyika kwa mambo ya watu katika ibada na kushikamana nayo, na kwamba malipo yake ni kama kuhama kwenda kwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake, na hii ni kwa sababu watu hughafilika nayo, na hawatengi muda ila mtu mmoja mmoja.

Mafunzo: Kufanya ibada katika (nyakati) za vita vurugu na mauaji…

Makundi : Mambo yaliyo bora. · Ubora na fadhila za matendo mema. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
سبحان الله Gloire à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56