Hakuna kitu kinachotukuzwa zaidi kwa Allah Mtukufu kuliko dua

Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Hakuna kitu kinachotukuzwa zaidi kwa Allah Mtukufu kuliko dua

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Tirmidhiy, Ibn Majah na Ahmad

Ni nzuri (Hasan)

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Hakuna kitu kinachotukuzwa zaidi kwa Allah Mtukufu kuli…

عن أبي هريرة رضي الله عنه عن النبي صلى الله عليه وسلم قال: «لَيْسَ شَيْءٌ أَكْرَمَ عَلَى اللهِ تَعَالَى مِنَ الدُّعَاءِ».

Maelezo ya hadith: Hakuna kitu kinachotukuzwa zaidi kwa Allah Mtukufu kuli…

Amebainisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa hakuna chochote katika ibada kilicho bora zaidi mbele ya Allah Mtukufu kuliko dua; kwa sababu ndani yake kuna kukiri utajiri wa Allah Mtukufu, na kukiri kushindwa kwa mja na kuhitajia kwake kutoka kwake.

Mafunzo: Hakuna kitu kinachotukuzwa zaidi kwa Allah Mtukufu kuli…

Makundi : Mambo yaliyo bora. · Fadhila za Dua. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
أستغفر الله Je demande pardon à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56