Islam > Sw > Hadith > Mambo mazuri na adabu heshima > Mwenye kuisoma Qur'ani kwa sauti ya wazi ni kama mwenye kutoa sadaka hadharani, na mwenye …
SahihiMis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lectureعن عُقبة بن عامر الجُهني رضي الله عنه قال: قال رسولُ الله صلَّى الله عليه وسلم: «الجاهِرُ بالقرآن كالجاهِرِ بالصَّدَقَةِ، والمُسِرُّ بالقرآن كالمُسِرِّ بالصَّدَقَة».
Ameweka wazi Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa mwenye kuweka wazi kusoma Qur'ani ni sawa na mwenye kuweka wazi anapotoa sadaka, na mwenye kuficha kisomo cha Qur'ani ni sawa na mwenye kuificha sadaka.
Makundi : Mambo yaliyo bora. · Adabu za kisheria. · Ubora wa Qur'an tukufu. · Fadhila za matendo ya moyoni. · Adabu za usomaji wa Qur'ani. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima.