Atakayekutana na Mwenyezi Mungu hali yakuwa hamshirikishi na chochote halitomdhuru dhambi …
Islam > Sw > Hadith > Mambo yaliyo bora > Atakayekutana na Mwenyezi Mungu hali yakuwa hamshirikishi na chochote halitomdhuru dhambi …
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Ahmad
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Atakayekutana na Mwenyezi Mungu hali yakuwa hamshirikis…
Maelezo ya hadith: Atakayekutana na Mwenyezi Mungu hali yakuwa hamshirikis…
Ameeleza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa atakayekufa na akakutana na Mwenyezi Mungu akiwa na tauhidi hamshirikishi na chochote basi huyo ni katika watu wa Peponi, hata kama akiadhibiwa kwa dhambi motoni, na atakayekufa huku akimshirikisha Mwenyezi Mungu na chochote hakuna jema lolote litakalomnufaisha; na Pepo kwake ni haramu.
Mafunzo: Atakayekutana na Mwenyezi Mungu hali yakuwa hamshirikis…
- Tahadhari dhidi ya ushirikina, na kwamba hilo ni katika madhambi na makosa makubwa, na kwamba Mwenyezi Mungu haisamehe.
- Fadhila ya kumpwekesha Mwenyezi Mungu, na kwamba hilo linawajibisha kuingia Peponi; hata ikiwa baada ya kuadhibiwa.
- Umuhimu wa kudumu katika kumpwekesha Mwenyezi Mungu mpaka kufa, na kutofanya kinyume chake ambacho ni ushirikina.
Makundi :
Mambo yaliyo bora.
· Ubora wa Tauhiid.
· Akida- Itikadi-
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
· Kumuamini Allah mwenye nguvu aliye tukuka
· Kumpwekesha Mwenyezi Mungu kwa Uungu wake.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
لا إله إلا الله
Pas de divinité sauf Allah