Mwenye kutakiwa kheri na Allah, (Allah) humuonja kutokana na kheri hiyo
Islam > Sw > Hadith > Akida itikadi > Mwenye kutakiwa kheri na Allah, (Allah) humuonja kutokana na kheri hiyo
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Al-Bukhaariy
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Mwenye kutakiwa kheri na Allah, (Allah) humuonja kutoka…
عن أبي هريرة رضي الله عنه قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: «مَنْ يُرِدِ اللهُ بِهِ خَيْرًا يُصِبْ مِنْهُ».
Maelezo ya hadith: Mwenye kutakiwa kheri na Allah, (Allah) humuonja kutoka…
Anaeleza Mtume -Rehama na amani ziwe juu yake- yakuwa Mwenyezi Mungu akitaka kheri kwa yeyote katika waja wake waumini huwapa mtihani katika nafsi zao na mali zao, na familia zao, kwa kile kinachotokea kwa muumini ikiwemo kurejea kwa Allah Mtukufu kwa maombi na dua, na kufutiwa makosa, na kunyanyuliwa daraja.
Mafunzo: Mwenye kutakiwa kheri na Allah, (Allah) humuonja kutoka…
- Nikuwa muumini anakabiliwa na mabalaa mbali mbali.
- Mtihani unaweza kuwa alama ya mapenzi ya Allah kwa mja wake, ili amnyanyue daraja yake, na ampandishe cheo chake, na amfutie madhambi yake.
- Himizo la kuwa na subira wakati wa matatizo na kutolalama.
Makundi :
Akida- Itikadi-
· Ni kuamini hukumu na mipango
· Mambo yanayohusu Hukumu na Mipango.
بسم الله الرحمن الرحيم
mer. 16 Joumada 1
الأربعاء 16 جمادى الأولى
لا حول ولا قوة إلا بالله
Pas de force ni de puissance sauf en Allah