Hakuwahi kula Muhammadi rehema na amani ziwe juu yake milo miwili kwa siku isipokuwa mlo m…

Islam > Sw > Hadith > Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha > Hakuwahi kula Muhammadi rehema na amani ziwe juu yake milo miwili kwa siku isipokuwa mlo m…

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Hakuwahi kula Muhammadi rehema na amani ziwe juu yake m…

Maelezo ya hadith: Hakuwahi kula Muhammadi rehema na amani ziwe juu yake m…

Anaeleza mama wa waumini Aisha radhi za Allah ziwe juu yake kwamba watu wa nyumba ya Mtume rehema na amani ziwe juu yake hawakuwahi kula milo miwili kwa siku moja isipokuwa mlo mmoja kati ya hiyo utakuwa ni tende.

Mafunzo: Hakuwahi kula Muhammadi rehema na amani ziwe juu yake m…

Makundi : Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha · Kuipa nyongo Dunia na Kujiepusha na yaliyo haramu. · Historia ya Mtume. · Mambo ya Mtume. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima. · Muongozo wa Mtume. · Historia na Taarekh.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
سبحان الله وبحمده Gloire et louange à Allah

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56