Hawakuwahi kushiba katika chakula cha ngano watu wa famili ya Muhammadi rehema na amani zi…
Islam > Sw > Hadith > Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha > Hawakuwahi kushiba katika chakula cha ngano watu wa famili ya Muhammadi rehema na amani zi…
Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Hawakuwahi kushiba katika chakula cha ngano watu wa fam…
Maelezo ya hadith: Hawakuwahi kushiba katika chakula cha ngano watu wa fam…
Anaeleza mama wa waumini Aisha radhi za Allah ziwe juu yake kuwa, watu wa nyumba ya Mtume rehema na amani ziwe juu yake hawakuwahi kushiba tangu walipoingia Madina kwa chakula cha ngano kwa muda wa siku tatu mfululizo, mpaka alipofariki rehema na amani ziwe juu yake.
Mafunzo: Hawakuwahi kushiba katika chakula cha ngano watu wa fam…
- Kumebainishwa hali aliyokuwa nayo Mtume rehema na amani ziwe juu yake ya maisha ya chini, kwani maisha halisi ni maisha ya Akhera.
- Amesema bin Hajari: Na kinachoonekana nikuwa sababu ya kutoshiba kwao mara nyingi ilikuwa ni kwa sababu ya uchache wa upatikanaji wa chochote kwao, yaani walikuwa wakipata chakula lakini walikuwa wakithamini wenye shida zaidi yao kuliko nafsi zao.
Makundi :
Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha
· Kuipa nyongo Dunia na Kujiepusha na yaliyo haramu.
· Historia ya Mtume.
· Mambo ya Mtume.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
· Muongozo wa Mtume.
· Historia na Taarekh.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
سبحان الله وبحمده
Gloire et louange à Allah