Hakuacha Mtume rehema na amani ziwe juu yake wakati wa kifo chake Dirham moja wala Dinari,…
Islam > Sw > Hadith > Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha > Hakuacha Mtume rehema na amani ziwe juu yake wakati wa kifo chake Dirham moja wala Dinari,…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Al-Bukhaariy
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Hakuacha Mtume rehema na amani ziwe juu yake wakati wa…
Maelezo ya hadith: Hakuacha Mtume rehema na amani ziwe juu yake wakati wa…
Alifariki Mtume rehema na amani ziwe juu yake na wala hakuacha Dirham ya fedha wala Dinari ya dhahabu, wala mtumwa mmilikiwa wala kijakazi mmilikiwa, wala mbuzi wala ngamia wala chochote katika mali, isipokuwa nyumbu wake mweupe aliyekuwa akimpanda, na silaha yake aliyokuwa akiibeba, na kipande cha Ardhi alichokitoa wakfu kwa ajili ya wasafiri.
Mafunzo: Hakuacha Mtume rehema na amani ziwe juu yake wakati wa…
- Manabii hawarithiwi.
- Kumebainishwa alivyoviacha Mtume rehema na amani ziwe juu yake baada ya kifo chake.
- Alifariki Mtume rehema na amani ziwe juu yake na wala hakuacha kitu chochote cha msingi, kutokana na ukarimu wake na utoaji wake na wema wake.
- Amesema Al-Karmani: Dhamiri katika kauli yake "na akavifanya" hii inarudi katika vitu vitatu: Yaani; nyumbu na silaha na Ardhi na si katika Ardhi peke yake.
- Shemeji: Ni kaka wa dada, na neno "Akhtani" hutumika kwa ndugu wa mwanamke.
Makundi :
Tungo zenye kulainisha moyo na mawaidha
· Kuipa nyongo Dunia na Kujiepusha na yaliyo haramu.
· Historia ya Mtume.
· Mambo ya Mtume.
· Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
· Muongozo wa Mtume.
· Historia na Taarekh.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
سبحان الله
Gloire à Allah