Hakika mimi sikutumwa kuwa mtoa laana, bali nilitumwa kuwa huruma

Islam > Sw > Hadith > Historia ya mtume > Hakika mimi sikutumwa kuwa mtoa laana, bali nilitumwa kuwa huruma

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Hakika mimi sikutumwa kuwa mtoa laana, bali nilitumwa k…

Maelezo ya hadith: Hakika mimi sikutumwa kuwa mtoa laana, bali nilitumwa k…

Alitakwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake awaombee washirikina dua mbaya kwa Mwenyezi Mungu, akasema: Hakika mimi sikuagizwa na Mwenyezi Mungu na sikutumwa kuwa mtoa laana na kuwaombea watu kuwekwa mbali na rehema ya Mwenyezi Mungu na niwakatie heri, mimi sikutumwa kwa hayo, bali nilitumwa niwe sababu ya heri na rehema kwa watu wote, na kwa waumini hasa.

Mafunzo: Hakika mimi sikutumwa kuwa mtoa laana, bali nilitumwa k…

Makundi : Historia ya Mtume. · Mambo ya Mtume. · Muongozo wa Mtume. · Historia na Taarekh.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
حسبنا الله ونعم الوكيل Allah nous suffit, quel excellent protecteur

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56