Hachukii muumini wa kiume tabia za muumini wa kike, akichukia tabia fulani basi ataridhish…
Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu kuhusu familia > Hachukii muumini wa kiume tabia za muumini wa kike, akichukia tabia fulani basi ataridhish…
Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa Imamu Muslim
Sahihi
Mis à jour le 26 octobre 2026
📖 1 min de lecture
Maandishi ya hadith: Hachukii muumini wa kiume tabia za muumini wa kike, aki…
Maelezo ya hadith: Hachukii muumini wa kiume tabia za muumini wa kike, aki…
Amemkataza Mtume rehema na amani ziwe juu yake mume kumchukia sana mke wake hadi kupelekea dhulma, na kumuacha na kumtelekeza; Mwanadamu ana asili ya kutokamilika, na ikiwa atachukia kwake tabia moja mbaya, basi atapata tabia nyingine nzuri; ataridhia kwa tabia hiyo nzuri anayoikubali, na avumilie kwa tabia asizozipenda miongoni mwa tabia mbaya, ambazo humfanya awe mvumilivu na asimchukie kiasi cha kutaka kumuacha.
Mafunzo: Hachukii muumini wa kiume tabia za muumini wa kike, aki…
- Huu ni wito kwa muumini wa kuja katika haki na uadilifu, na kuhukumu mambo kwa akili katika mgogoro wowote unaotokea baina yake na mke wake, na sio kutoa maamuzi kwa hisia na mihemuko ya muda mfupi.
- Kazi ya muumini si kumchukia mwanamke muumini kabisa mpaka afikie kuachana naye, bali apuuze kile anachochukia kwa kile anachopenda.
- Himizo la kuishi vizuri na kutengeneza urafiki kati ya wanandoa.
- Imani ni msukumo wa maadili mema, hivyo hakuna muumini wa kiume au wa kike asiye na tabia njema; Imani inachochea uwepo wa sifa njema ndani yao.
Makundi :
Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia.
· Ndoa.
· Hukumu za wanawake.
· Fiq'hi na misingi yake.
بسم الله الرحمن الرحيم
mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
لا إله إلا الله
Pas de divinité sauf Allah