Kila mmoja miongoni mwenu ni mchunga hivyo ataulizwa kuhusu raia wake

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu kuhusu familia > Kila mmoja miongoni mwenu ni mchunga hivyo ataulizwa kuhusu raia wake

Hadith imesimuliwa na: Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Kila mmoja miongoni mwenu ni mchunga hivyo ataulizwa ku…

Maelezo ya hadith: Kila mmoja miongoni mwenu ni mchunga hivyo ataulizwa ku…

Anaeleza Mtume rehema na amani zimfikie kuwa kila muislamu katika jamii anamajukumu anayoyasimamia na anayoyabeba, Imamu na kiongozi ni mchunga katika majukumu aliyopewa na Allah kuyasimamia, anatakiwa kuhifadhi sheria zao, na kuwalinda dhidi ya mwenye kuwafanyia uadui, na kumpiga vita adui yao, na kutopoteza haki zao, Na mwanaume kwa watu wa nyumba yake amelazimishwa kuwasimamia kwa matumizi, na kuishi nao vizuri, na kuwasomesha na kuwaadabisha, Na mwanamke katika nyumba ya mumewe ni mchunga kwa kuipangilia vizuri nyumba yake, na kuwalea watoto wake, naye ataulizwa kuhusu hilo, Na mfanyakazi mmilikiwa na mwajiriwa ataulizwa katika mali ya bosi wake kwa kusimamia kuhifadhi kile kilicho mkononi mwake, na huduma zake, naye ataulizwa kuhusu hilo, kila mmoja ni mchunga katika vile alivyopewa kuvichunga, na kila mmoja ataulizwa kuhusu raia wake.

Mafunzo: Kila mmoja miongoni mwenu ni mchunga hivyo ataulizwa ku…

Makundi : Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia. · Ndoa. · Hukumu za mwenye kuzaliwa- mchanga · Siasa ya Kisheria. · Wajibu wa Kiongozi. · Fiq'hi na misingi yake. · Maisha ya wanandoa. · Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya · Kuwalea watoto.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.6 / 29.5
Illumination 96%
Nouvelle lune dans 13 jours
حسبنا الله ونعم الوكيل Allah nous suffit, quel excellent protecteur

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56