Hakika wamekuja katika familia za Muhammad wanawake wengi wakiwashitakia waume zao, (wanau…

Islam > Sw > Hadith > Fiqhi ufahamu kuhusu familia > Hakika wamekuja katika familia za Muhammad wanawake wengi wakiwashitakia waume zao, (wanau…

Hadith imesimuliwa na: Imepokelewa na Abu Daud na Ibn Majah

Sahihi

Mis à jour le 26 octobre 2026

📖 1 min de lecture

Maandishi ya hadith: Hakika wamekuja katika familia za Muhammad wanawake wen…

Maelezo ya hadith: Hakika wamekuja katika familia za Muhammad wanawake wen…

Alikataza Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwapiga wanawake, akaja kiongozi wa Waumini Omari bin Khattwabi radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake akasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu wanawake wamepata ujasiri kwa waume zao, na wamekuwa na tabia mbovu. Akaruhusu rehema na amani ziwe juu yake kuwapiga kipigo kisichojeruhi inapopatikana sababu ya hilo, kama kukataa kwao kutimiza wajibu wao kwa waume zao na kuwaasi, na mfano wa hayo. Baada ya hapo wakaja wanawake kwa wake wa Mtume rehema na amani ziwe juu yake wakishitakia kupigwa na waume zao kipigo chenye kujeruhi, na matumizi mabaya ya ruhusa hii, akasema Mtume rehema na amani ziwe juu yake: Wanaume hao, wanaowapiga wake zao kipigo chenye kujeruhi, si watu bora kwenu.

Mafunzo: Hakika wamekuja katika familia za Muhammad wanawake wen…

Makundi : Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia. · Ndoa. · Fiq'hi na misingi yake. · Mambo mazuri na Adabu- Heshima. · Maisha ya wanandoa.

بسم الله الرحمن الرحيم mar. 15 Joumada 1
الثلاثاء 15 جمادى الأولى
بدر Pleine Lune Jour 16.5 / 29.5
Illumination 97%
Nouvelle lune dans 13 jours
اللهم صل على محمد Ô Allah prie sur Muhammad

إِنَّ ٱللَّهَ وَمَلَٰٓئِكَتَهُۥ يُصَلُّونَ عَلَى ٱلنَّبِىِّ ۚ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ صَلُّوا۟ عَلَيْهِ وَسَلِّمُوا۟ تَسْلِيمًا

Al-Ahzab 33:56